AyoTV

VIDEO: Wabunge upinzani wamshangilia Mbunge wa CCM Bungeni

on

Mkutano wa Saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma ambapo May 30, 2017 ilikuwa siku ambayo Wabunge walikuwa wanawasilisha maoni yao katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye aliikosoa Bajeti ya Wizara hiyo akiomba ifanyiwe marekebisho.

VIDEO: Vipaumbele 17 vilivyoombewa Bajeti na Wizara ya Fedha 2017-18 

Soma na hizi

Tupia Comments