Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba alilazimika kusimama bungeni kujibu swali la Mbunge wa Hai Freeman Mbowe aliyehoji uhalali wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kusindikizwa na askari polisi katika safari zao, bonyeza play kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Mwigulu Nchemba kuhusu Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaotumia Polisi

Leave a comment
Leave a comment