AyoTV

VIDEO: Nyerere, Mwinyi na JPM kwenye dakika 10 za Prof. Tibaijuka Bungeni

on

June 2, 2017 Mkutano wa Saba wa Bunge umeenndelea Dodoma kazi kubwa ikiwa ni mapendekezo ya Wabunge katika Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo miongoni mwa waliopata nafasi ya kuchangia ni Mbunge wa Muleba Kusini Professor Anna Tibaijuka ambaye amezielezea baadhi ya changamoto zilizopo kwenye Wizara hiyo…

MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari 

Soma na hizi

Tupia Comments