Top Stories

Magufuli awashangaa waliomtangulia “hawakufanya haya | hata Marekani wanajua (+video)

on

Leo October 27, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amejiuliza swali kwa nini? ndege zinanunuliwa kipindi yeye akiwa madarakani na sio zamani kwa Viongozi waliomtangulia kauli aliyoitoa wakati akipokea ndege mpya.

RAIS JPM AMPIGA MASWALI RUBANI LIVE, AJIBU SIKUA PEKE YANGU

Soma na hizi

Tupia Comments