Mix

VIDEO: Mbunge ataka marekebisho utendaji kazi wa TBS

on

May 31, 2017 Wabunge wameendelea kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango na miongoni mwao ni Mbunge wa Rungwe Saul Amon aliyelieleza Bunge kuwa Serikali irekebishe utendaji kazi wa Shirika la Viwango Tanzania ‘TBS’ kwa kuwa linasababisha changamoto nyingi kwa wafanyabiashara.

VIDEO: Mambo Sita ya Serukamba kuhusu Wizara ya Fedha 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments