Habari za Mastaa

Sikiliza hapa Wimbo mpya wa Ben Pol Unanichora.

on

ben pol unanichoraHuu ni wimbo mpya wa Ben Pol ambao ndiyo wimbo wa kwanza kuuachia rasmi kwa mwaka 2014,audio imefanywa na Fundi Samwel na ndani yake kashirikishwa Mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa Unanichora.

ben picTaarifa za wimbo huu,Ben Pol amesema mwanzoni  ulikua na dakika 7 lakini kwa radio waliona isingewezekana kupigwa dakika hizo zote hivyo wakaona waupunguze kidogo kwa ajili ya kuchezwa Redio tu.

Taarifa pia ikufikie kuwa album ya Ben Pol kwa mkazi wa Tanzania utaipata kwa Shilingi 10,000 kwa kutuma pesa kwenda namba ya M-pesa 0764 905470 na 0715 744911 na ukituma pesa hiyo utapata album yenye jumla ya nyimbo 20.

Nimeambiwa pia Ben Pol anauza album hii kwenye mitandao yote duniani kama iTunes,Amazon,Spotify,Shazam,Beatsmusic,Xbox music na Google play.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments