Top Stories

Kama una mpango wa kuanzisha kiwanda, kuna hii ya fahamu kutoka TPSF

on

Katika kutekeleza sera ya Serikali ya Tanzania ya Viwanda Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania TPSF kwa kushirikiana na Tanzania Chamber of Commerce China TCCC, Kinyago Travel and Tours na Ubalozi wa Tanzania Beijing China wameandaa awamu ya pili ya safari ya kibiashara nchini China kutembelea maonyesho makubwa ya kibiashara.

Mkurugenzi wa TPSF Godfrey Simbeye amesema hiyo ni fursa ya aina yake kwa Watanzania ambao wanataka kuanzisha viwanda vidogo vidogo kutembelea katika maonesho hayo ili kujionea na kujifunza.

KILA KONA!! Bomoabomoa sio Dar tu, hii ni Kagera…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

Play kwenye hii video kutazama wakazi wa Kimara wanavyolala nje baada ya bomoabomoa!!!

ULIPITWA? BOMOA BOMOA DAR: Wakazi Kimara waeleza wanavyoishi kwa shida…tazama kwenye hii video hapa chini!! 

Soma na hizi

Tupia Comments