Mwanamuziki aliyebadili jinsia mwenye nchini Nigeria, Idris Okuneye, maarufu kama Bobrisky, amesema yuko tayari kwa tafrija ya usiku mmoja na mwimbaji aliyeshinda tuzo ya Grammy, Wizkid.
Akizungumza katika mahojiano ya hivi majuzi ya podikasti na mtengenezaji wa skit, Bae U Barbi, Bobrisky alikariri kwamba Wizkid ndiye mtu mashuhuri pekee ambaye anampenda.
Alisema, “Kila mtu anamjua mtu mashuhuri ninayempenda: Wizkid.
“If he asks me out, I would say yes. He should not ask me out, just hookup. Hookup. I am down.”