AyoTV

VIDEO: Milioni 365 za bodaboda zilivyokusanywa na Polisi Dar

on

March 7 2016, Jeshi la Polisi Dar es salaam lilitoa ripoti ya makusanyo yote yaliyopatikana baad ya zoezi la ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha kuanzia mweziFebruary 28 2016 hadi March 7 2016.

Kamanda wa Polisi kanda maalim ya Dar es salaam, Simon Sirro alipata time ya kuongea mbele ya waandishi wa habari na kusema Hatusemi kwamba lengo letu kukusanya mapato mengi kwamba ni sifa sana kwetu, hapana tunafanya hivyo ili watu wafuate sheria na hatufanyi hivyo ili kuwakomoa watu, kikubwa kufuata tu sheri

Unaweza pia kuitazama hii video wakati kamanda Sirro akiyaeleza hayo……

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments