AyoTV

VIDEO: Serikali imetoa ripoti ya vifo vitokanavyo na ajali za bodaboda

on

April 7, 2017 Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametoa ripoti ya matukio ya ajali za barabarani zilizosababisha vifo vya watu zilizohusishwa usafiri wa bodaboda kwa mwaka 2010 hadi 2017, Nchemba ametoa ripoti hiyo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kiwani Abdallah Ali aliyetaka kujua ripoti ya watu waliofariki kwa ajali za pikipiki.

VIDEO: Ushauri wa Nape Nnauye kwa Rais Magufuli 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments