Michezo

Bingwa wa riadha Usain Bolt na mipango ya kustaafu Riadha

on

6082237-large

Jamaa ambaye dunia inamtambua kwa rekodi zake kubwa ambazo ameziweka kwenye riadha, huenda wapenzi na mashabiki wangependa kumuona tena na tena akifanya mchezo huo, maisha yanaenda mbele na yeye ameangalia upande mwingine kwenye kile anachokitaka siku za usoni.

Mjamaica mkali kwenye riadha, mshindi wa Medali sita za dhahabu, Usain Bolt ametangaza kustaafu riadha baada ya kumalizika kwa michuano ya dunia itakayofanyika London mwaka 2017.

Aliwahi kutangaza kwamba michuano mikubwa ya Rio 2016, iwe michuano yake ya mwisho lakini kwa sasa ameamua kubadili mawazo na kupanga kustaafu 2017 baada ya kukubaliana na wadhamini wake walioomba asogeze mbele muda wake wa kustaafu.

article-2186096-1477DFEA000005DC-787_964x682

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments