AyoTV

VIDEO: Sababu za Dili la Bomba la Mafuta kutoka Uganda kupewa Tanzania na si Kenya ziko hapa

on

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo April 24 2016 amewasili Tanzania akitokea Uganda alipokwenda kwenye mkutano wa majadiliano ya bomba hilo la mafuta lipite wapi kati ya Tanzania au Kenya. Akizungumza baada ya kuwasili Prof. Muhongo ameeleza sababu zilizofanya Bandari ya Tanga kuchaguliwa ambapo ushindani ulikuwa ni wa ubora wa bandari na ubora wa njia ambako bomba litapita, unaweza kutazama video hii hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA RIPOTI YA TUHUMA ZA RUSHWA TANZANIA, WAZIRI MKUU ALIPOIZUNGUMZIA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments