Videos

VideoMPYA: Tazama video nyingine ya bongo ambayo Agness Masogange ametokea

on

Muziki wa bongo umeendelea kutengeneza ajira na mkwanja mrefu zaidi kila siku haswa kwa vijana wengi wa kitanzania , leo nimekusogezea hii video ya msanii wa bongo flava Reggy The Best Ft Kimbunga Mchawi inayoitwa ‘Kampa’ ambapo ndani yake yupo video queen Agness Masogange 

Video imefanywa chini ya director Hanscana unaweza kuitazama hapa chini…

ULIIKOSA HII RAMMY MAPENZI MOTOMOTO NA AGNESS MASOGANGE

Soma na hizi

Tupia Comments