Habari za Mastaa

Video walichosema wasanii kwenye msiba wa Abdul BONGE Tip Top Connection… #RIP #AbduBonge

on

98bngHuenda hakuwa mtu ambaye ulikuwa unamfahamu kwa kumuona kwenye video za wasanii wa Bongofleva, lakini jina la ABDUL BONGE ni moja ya majina ambayo yanafahamika sana kwenye huu muziki; “Hata Abdu Bonge siku yako haijulikani.. Hata ukiwa na body kama producer Majani..”– Hii aliimba Madee kwenye wimbo wa ‘Kazi yake Mola’

Nimekuwa nikikusogezea taarifa ya kila kinachoendelea kwenye msiba huo tangu March 28 2015 siku ambayo Abdul Bonge alifariki.. alikuwa karibu na wasanii wengi wanaofanya Bongofleva na ndie mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection pia.

Mb Dogg na Diamond walikuwepo pia, walipata nafasi ya kuongelea namna ambavyo wamekuwa karibu na Abdul.

Play video uwasikilize.

#RIP #AbduBonge

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments