Mix

Wachekeshaji wa bongo walivyoigiza kuhusu hali ngumu ya pesa (video)

on

Sio jambo geni kusikia kuna mtu akilalamika kwamba hali ngumu pesa hakuna, sasa Wachekeshaji kutokea TimamuTV wametengeneza kichekesho cha Mwinjilisti alieamua kwenda nyumba kwa nyumba kudai sadaka… unaweza kutazama hapa chini

ULIPITWA? Tazama hapa chini Wabongo walivyovaa kizamani kwenye party ya Sallam, bonyeza play hapa chini kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments