Premier Bet
TMDA Ad

BreakingNews

Msiba mwingine tena leo baada ya YP tumeondokewa na mwigizaji.

on

SherryNi masaa machache tu yamepita tangu muziki wa kizazi kipya Tanzania, Bongo Fleva kumpoteza aliyekuwa staa wa muziki huo kutoka kundi la TMK Wanaume Family, aliyekuwa akifahamika kwa jina la YP, taarifa nyingine ya simanzi inahusu msiba wa aliyekuwa muigizaji wa Bongo Muvi.

Katika ukurasa wake wa instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu anayefahamika kwa jina la Kitale ama Mkude Simba (@mkudesimbaoriginal), amepost picha ya muigizaji Shery Mwana aliyefariki masaa machache yaliyopita.

Kwa mujibu wa Kitale, muigizaji huyo mbaye jina lake halisi ni Sherry Charles Magali, aliwahi kushiriki na Kitale katika movie mbali mbali ikiwemo Kipotabo na Nyumba Nne.

Sherry II

millardayo.com itaendelea kukupa taarifa mbali mbali kuhusiana na msiba huu, na kwa taarifa nyingine pia kwa haraka kadri zinavyotufikia, pata taarifa zote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

 

Tupia Comments