Habari za Mastaa

VIDEO: Warembo wa Tanzania walivyojitokeza kuonyesha vipaji vya kuigiza kwenye Xballer

on

Ernest Napoleon ni mwigizaji kutokea Tanzania ambaye uwezo wake tayari ameshauonyesha kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania, sasa hivi anajiandaa kufanya movie yake nyingine inaitwa X Baller na imebidi atafute mrembo wa kuigiza nae Dar es salaam, tazama hii video hapa chini..

ULIIKOSA HII YA JAMAA ANAEMUIGILIZIA RAIS MAGUFULI? ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBEk

Soma na hizi

Tupia Comments