Michezo

Bongozozo afunguka baada ya kushinda tuzo ya muhamasishaji bora (video+)

on

Usiku wa October 21 2021 ndio zilifanyika tuzo za TFF ambapo zililenga kutambua juhudi za Wachezaji, Makocha, Waamuzi na Viongozi waliofanya vizuri katika soka hususani msimu wa 2020/2021.
Sasa miongoni waliowania tuzo hizo ni Bongozozo ambae alitangazwa kushinda tuzo ya Muhamasishaji bora akiwashinda Haji Manara na Masau Bwire.
Ayo tv & Millardayo.com ilimpata Bongozozo kwenye mahojiano unaweza ukabonyeza play kutazama ufahamu alichozungumza.

MKE WAKE NDIO SIRI YA UBORA WA AISHI MANULA WA SIMBA

Soma na hizi

Tupia Comments