Mix

Unajua  CNN iliripoti Rais Obama kuuawa?

on

Wrong-Obama-Caption

Ilishtua wengi na kuzua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii baada ya shirika la utangazaji Marekani CNN kuripoti kuuawa kwa Rais Obama.

Makosa ya kiuandishi yalifanyika ambapo mtayarishaji wa video aliandika neno Obama badala ya Osama.

Stori ilikuwa inahusu mwanajeshi aliyedai kutekeleza shambulio na kumuua Osama bin Laden, “.. Seal who Claims he Killed Obama Under Attack…”

Kosa hilo lilikaa hewani kwa sekunde kumi na tano na kabla ya kufanyiwa marekebisho.

http://www.youtube.com/watch?v=KEgdNVJgLEM

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments