Michezo

Boohle, Whozu, Young Lunya na Professor Jay kuinogesha Kidimbwi Beach

on

Good news ni kwamba ikiwa leo ni kilele cha wiki ya Simba SC yaani Simba DAY baada kumaliza  shamra shamra uwanjani sasa shangwe zitahamia Kidimbwi Beach ambapo wakali kutokea Bongo Flevani, Whozu, Young Lunya, Professor Jay pamoja na msanii wa kike kutokea Afrika Kusini Boohle watawanogesha mashabiki wakaofika mahali hapo.

 .

SHABIKI WA SIMBA KATOKA SANYA JUU MOSHI, MAMA KABEBA MTOTO “LAZIMA WAPIGWE”

KIKOSI CHA TP MAZEMBE KILIVYOINGIA UWANJA WA TAIFA KUMINYANA NA SIMBA SC

Soma na hizi

Tupia Comments