Top Stories

Boss Mstaafu Usalama wa Taifa apangiwa kituo cha kazi

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo anatarajia kuwaapisha Mabalozi Wateule wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika nchi za nje.

Wanaotarajiwa kuapishwa ni;

1. Meja Jenerali (MST) Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Africa Kusini.

2.Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Namibia.

3.Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Zimbabwe.

4.Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi wa Nigeria.

MAGUFULI AMPA ONYO KALI MZEE BAHKRESA “WASIUZE MADAWA YA KULEVYA HOTELINI, MAMBO HOVYO YASIFANYIKE”

Soma na hizi

Tupia Comments