Top Stories

Boss wa kampuni ya utalii afikishwa mahakamani akidaiwa kumuua mlinzi wake

on

Mkurugenzi wa kampuni ya Utalii ya Shidolya  mkoani Arusha, Lazarus Mafie maarufu kwa jina la Shidolya Mkazi wa Kimandolu, wilayani Arumeru, amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kutenda kosa la mauaji ya kukusudia kwa mfanyakazi wake.

BILIONEA MPYA MWINGINE WA MADINI APATIKANA ARUSHA,ANAITWA LAIZER

Soma na hizi

Tupia Comments