Top Stories

Boss wa Mabasi ya Sahara afia guest house ‘alikua na Mwanamke’

on

Mmiliki wa Mabasi ya Sahara Abdalah Msangi Mkazi wa Usangi Mkoani Kilimanjaro amekutwa amefariki kwenye nyumba moja ya kulala wageni (guest house) Moshi ambapo kwenye hatua za mwanzo za uchunguzi wa Polisi gari Lake limekutwa na dawa za kienyeji.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro James Manyama amesema Mfanyabiashara huyo aliingia kwenye hiyo guest house akiwa na Mwanamke lakini baada ya tukio hilo Mwanamke huyo alikimbia ambapo mpaka sasa bado hawajamjua ni nani kwasababu hakuandika jina kwenye kitabu cha Wageni, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Kamanda akisimulia

MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA “NAIPENDA KAZI YANGU”

MTANZANIA ALIEKATIKA MGUU SOMALIA KWENYE SHAMULIO LA AL-SHABAAB

Soma na hizi

Tupia Comments