Top Stories

“Boti ilijaza watu 60, maiti hatuzioni, saba wamezikwa” RC afika Ziwani kwa bodaboda (+video

on

Leo June 27, 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Emmanuel Maganga amesema boti iliyozama Ziwa Tanganyika katika kijiji cha Sibwesa katika Wilaya ya Uvinza ilibeba watu 60 ambapo saba tayari wameshazikwa na maiti mbili hazionekani.

WALIONUSURIKA KIFO BOTI IKIUA WATU TISA WAELEZEA MACHUNGU “TUMEJINASUA KUFA, SHANGAZI HAONEKANI”

Soma na hizi

Tupia Comments