List ya mabondia 10 matajiri zaidi duniani 2015 ni hii hapa!! (PICHAZ)
Share
3 Min Read
SHARE
Mchezo wa ngumi ni mmoja ya michezo maarufu na inayopendwa zaidi duniani.
Pambano la May 2 2015 kati ya Floyd Mayweather na mpinzani wake Manny Pacquiaolilidhihirisha kwamba kumbe kuna mashabiki wengi duniani wanaopenda mchezo wa ngumi.
Forbes imetoa orodha ya mabondia ambao wanaongoza kwa utajiri mkubwa zaidi duniani;
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.