Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
December 10, 2023
RC Chalamila apongeza Polisi na Barrick kwa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
December 10, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)
Magazeti

Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)

January 7, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Alhamisi January 07 2016 imeanza na huu uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini, hizi ni baadhi yake na sauti niliyokurekodia.

Oparesheni ya kutimua wageni wasio na vibali kuanza leo, bomoabomoa Dar kuathiri watu 200,000 ambao watakosa makazi ya kuishi… Rais Magufuli ajifungia miezi miwili Ikulu bila kusafiri, atumbua vigogo Serikalini.

Serikali yapinga nauli za mabasi ya mwendokasi Dar, Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Wizara na Kampuni ya UDA zikae kukubaliana, asema Serikali inaweza kuendesha mradi… Bohari Kuu ya Dawa MSD yasema inashindwa kutatua changamoto mbalimbali kutokana na ufinyu wa bajeti inayotengwa.

Wizara ya ardhi imesema nyumba zaidi ya 600 zilizowekwa alama ya ‘X’ bonde la Mkwajuni, Kinondoni Dar zitahakikiwa upya ili kujiridhisha uhalali wake, agizo la Rais Magufuli kuzuia safari za nje ladaiwa kuwaweka kwenye wakati mgumu watumishi wa umma.

Stori na uchambuzi wote wa redioni kwenye PowerBreakfast huu hapa, unaweza kubonyeza play kama ulipitwa mtu wa nguvu !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 7, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 6, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 5, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo January 7, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Gumzo ni nauli za mabasi mapya Dar, ijue tofauti ya mabasi ya Tanzania vs Brazil kwenye nauli
Next Article #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 7, 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
Sports December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
Top Stories December 10, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?