Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu
Share
Notification Show More
Latest News
Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu
Mix

BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu

March 3, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi

ULIIKOSA YA VIWANGO VIPYA VYA MAFUTA VILIVYOTANGAZWA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: Breaking news
Millard Ayo March 3, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FIFA wametangaza viwango vya soka mwezi huu, Tanzania ilikua namba 126 miezi iliyopita, ya mwezi huu je?
Next Article Arusha kupata njia nne kwa mara ya kwanza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5
Top Stories May 30, 2023
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Muda wa kusitisha mapigano nchini Sudan warefushwa kwa siku 5

May 30, 2023
Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?