BreakingNews

BREAKING: Kutoka IKULU, Rais Magufuli katengua uteuzi mwingine leo

on

Kazi yangu ni kukusogezea kila kinachotokea kuanzia Michezo, Siasa, habari za mastaa na Breaking News zote ambapo time hii kutoka IKULU Dar es salaam kuna hii ya Rais John Pombe Magufuli ametengua utauzi.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe March 26 2017 ambapo nafasi hiyo itajazwa baadae.

“Unaweza kumchukia mtu lakini usiichukie Tanzania” – Rais Magufuli, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments