AyoTV

Video:Barnaba kafunguka kuhusu Ruge ‘alikuwa ananiambia sijui kuimba’

on

Ni Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Barnaba ambae leo October 19, 2019 kasimama mbele ya wanafunzi wa Shule ya Dodoma na kufunguka kuhusu Marehemu Ruge Mutahaba namna alivyokuwa akimkosoa kwenye muziki wake.

Soma na hizi

Tupia Comments