Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …
Sports

Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …

November 9, 2015
Share
3 Min Read
SHARE

Brazil ni nchi ambayo kila mpenda soka anaifahamu kwa kutoa vipaji vingi katika soka, katika mfumo wa uzalishaji wachezaji Brazil ni tofauti kidogo na nchi za Ulaya, asilimia kubwa ya wachezaji wazuri kutokea Brazil ni watu ambao wamejifunzia soka mtaani. Brazil ni nchi yenye idadi ya watu milioni 200 lakini asilimia kubwa ya vijana hupenda kujihusisha na mchezo wa soka. November 9 naomba nikusogezee tabia 5 za wachezaji wengi wa kibrazil ambazo wanatajwa kuwa nazo.

1- Ni aina ya wachezaji ambao hupenda kucheza soka nchini kwao, wachambuzi wengi wa masuala ya soka hupenda kusema kuwa wachezaji wa kibrazil huwa wanaumwa homa ya kupenda nyumbani, kama utakuwa unakumbuka vizuri kabla ya Neymar kujiunga na FC Barcelona kulikuwa na mjadala mrefu sana katika baadhi ya vyombo vya habari ambavyo wanaamini Neymar anapaswa kwenda Ulaya na wengine kusema hata Brazil anaweza kuwa mchezaji bora.

6_1

2- Wengi wao hutokea maisha ya mtaani na asilimia kubwa mara wapatapo pesa hupenda kufanya starehe kitu kinachotajwa kuwa ni tabia ya kujisahaulisha matatizo. Baadhi ya mastaa wa Brazil wanaotajwa kupenda starehe ni Ronaldinho Gaucho.

brazil-soccer-dreams1_wide-6111047416e4954da0b17ae5e4066ecfc606e65d-s900-c85

3- Ni watu ambao hupenda kujivunia utamaduni wao na kudumisha aina ya muziki wao wa asili Samba hata tumewahi kuona mara kadhaa wakifunga magoli hupenda kushangilia kwa kucheza staili hiyo ya muziki.

Hii ni video ya Ronaldinho akicheza Samba

https://youtu.be/ArTmKwjU24Q

4- Mchezaji yoyote wa kibrazil aliyetokea mtaani anakuwa na uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira kuliko yule anayekulia katika academy za soka barani Ulaya. Mfano mzuri ni Ronaldinho Gaucho ambaye anasifika kwa ufundi na uwezo wake mkubwa wa kucheza na mpira katikati ya msitu wa watu bila kuupoteza.

5- Hata wapate mafanikio kiasi gani utajiri mkubwa vipi majumba na magari ya kifahari usitegemee baada ya kustaafu utaona wanaamua kuweka makazi ya kudumu barani Ulaya, wengi wao ni lazima warudi kwao Brazil na Ulaya kwenda kutembea tu tofauti na baadhi ya wachezaji wengi wa kiafrika ambao hupenda kuweka makazi ya kudumu Ufaransa, hizi ndio sifa na tabia walizonazo wachezaji wengi wa Kibrazil.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

Rama Mwelondo TZA November 9, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?
Next Article Vijue baadhi ya vitu ambavyo mastaa wangependa kuwa navyo, ndani yupo Wizkid na wengine!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?