Duniani

Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video)

on

Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe… nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua kumalizia hasira zake kwenye gari.

Mwanamke huyo hajatajwa jina, ila tukio limetokea Ceilandia jirani na Jiji la Brasilia, Brazil na ilikuwa December 5 2015… mwanamke ni mjamzito kamfuma mpenzi wake akiwa na mwanamke mwingine mgahawani… hasira yake akaona akamalizie kwa kubonda gari la mpenzi wake.

Video yenyewe hii hapa mwanamke alivyobonda gari kwa mawe na kulikanyaga baada ya fumanizi.

https://www.youtube.com/watch?v=euNTnkWariU

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments