Duniani

Wanasema hizi ni barabara nyingine kumi za hatari duniani… Dereva asifumbe macho hata sekunde

on

Wanasema hizi ni miongoni mwa barabara nyingine hatari zaidi duniani…. usipokua muangalifu kufata masharti uwezekano wa kupoteza maisha ni mkubwa, tazama kwenye hii video hapa chini.

Unaijua barabara yoyote ya Tanzania ambayo ni hatari kupita? niachie comment yako hapa chini mtu wa nguvu…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments