BreakingNews

BREAKING: Rais Magufuli katengua uteuzi wa mkuu wa mkoa, haujatimia hata mwezi toka ateuliwe

on

Rais Magufuli katengeua uteuzi wa Anne Kilango Malecela kama mkuu wa mkoa Shinyanga pamoja na kiongozi mwingine mmoja ambapo utenguzi huo umeripotiwa kwamba ni baada ya kusema mkoa huo hauna Watumishi hewa…. tunaendelea kufatilia ili kuja na ripoti kamili baadae hapahapa millardayo.com

ULIKOSA KUONA WAZIRI AKIONGELEA WATUMISHI HEWA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments