Top Stories

BREAKING: Rais Magufuli akubali Kinana kujiuzulu, Keisha achaguliwa NEC

on

Leo May 28, 2018 Stori iliyotufikia muda huu kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Polepole imesema kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, ameridhia uamuzi wa kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

LIVE MAGAZETI: “JPM usitumie Ikulu kwa Vikao vya CCM”, Aliyebaka Kikongwe auawa

Soma na hizi

Tupia Comments