Breaking News

BREAKING: Tundu Lissu amekamatwa na Polisi akiwa Airport Dar es Salaam

on

Moja ya Habari zilizonifikia kutoka Dar es Salaam ni kuhusu Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika ‘TLS’ ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu kukamatwa na Polisi akiwa Airport Dar es Salaam.

Tundu Lissu amekamatwa akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili.

FULL VIDEO: Tundu Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi Dodoma…tazama kila kitu kwa kuplay video hii!!

Soma na hizi

Tupia Comments