Mix

Kwa wasumbufu wa kulipia parking Nairobi, zimeshushwa hizi 300 !!

on

No-Parking-Hatching

Ni utaratibu wa kawaida kabisa katikati ya Miji au Majiji makubwa kukutana na parking za magari ambazo kama uko na gari lako na unahitaji kupaki ni lazima ulipie.

Ninayo story ya Nairobi leo, kama kulikuwa na mtu anasumbua kulipia parking basi mwarobaini ni huu hapa, Mkurugenzi wa Mipango ya Fedha Kaunti ya Nairobi, Gregory Mwakanongo amesema zimeshushwa breakdown 300 kumalizana na hiyo ishu.

NAI PARKING

Kwenye mkakati wanaoanza nao, maeneo kama Parklands, Westlands, Industrial Area, Ngong’ Road, Buru Buru shopping center, Upper Hill na Kilimani yatakuwa ya kwanza.

NAIROBI

Headline ya Gazeti la ‘The Star‘, July 09 2015.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments