Top Stories

BREAKING: Dr. John Magufuli ashinda Urais wa Tanzania

on

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM kuwa Mshindi wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu mwenye kura 1, 9 33, 271.

“Tume inamtangaza Dkt.Magufuli kuwa Rais wa JMT amepata kura nyingi halali kuliko Wagombea wengine wote na tunamtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais wa JMT”-NEC

Soma na hizi

Tupia Comments