Michezo

BREAKING: Kobe Bryant afariki dunia

on

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa legend wa NBA na mchezaji wa mpira wa kikapu maarufu duniani Kobe Bryant ,41, amefariki leo baada ya kupata ajali na helicopter binafsi.

Kobe Bryant kwenye ajali hiyo wamefariki jumla ya watu watano akiwemo pamoja na yeye, chanzo cha ajali hiyo hakijawekwa wazi.

Soma na hizi

Tupia Comments