Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Breaking: Kumuona Chama hadi msimu ujao, afungiwa na TFF
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Breaking: Kumuona Chama hadi msimu ujao, afungiwa na TFF
Sports

Breaking: Kumuona Chama hadi msimu ujao, afungiwa na TFF

May 21, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara ya bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza kumfungia michezo mitatu na faini ya Tsh 500,000 (Laki Tano) Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Raia wa Zambia Clatous Chama.

Chama amefungiwa kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman, tukio hilo limetokea wakati wa mchezo dhidi ya timu hizo ambapo Simba SC walishinda goli 3-0 #MillardAyoSPORTS

You Might Also Like

Pochettino Kocha Mpya Chelsea

Mario Balotelli atabiri fainali ya Man City vs Inter Milan juni 10

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

Picha: Yanayojiri kwa Benjamini Mkapa, mashabiki wafurika nje kushuhudia mechi ya Yanga SC dhidi ya USM Alger

Live: Ali Kamwe aongoza Shangwe la Fainali Mbagala Zakheim, Tazama kinachoendelea muda huu

Edwin TZA May 21, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwandishi azua gumzo, azuia gari isiondoke kisa Kuku, aongea kilichotokea
Next Article DC Mvomero akemea vikali tabia ya Wananchi kujeruhi Wanyama ‘Tembo’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?