Rais Magufuli amewateua Meja Jenerali Jacob Kingu, Kamishina Jenerali wa Magereza Faustine Kasike na Dkt. John Steven Simbachawene kuwa Mabalozi, Mabalozi hao wataapishwa na vituo vyao vya kazi vitatangazwa baadaye.
BREAKING: Magufuli amtumbua Mkuu wa Magereza, “TAKUKURU mchunguzeni Andengenye” (+video)

Leave a comment
Leave a comment