Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehutubia Taifa kuhusiana na ugonjwa wa Corona “Wagonjwa wa corona Tanzania wamefikia 12, wanne ni Raia wa nje na wanane ni Raia wa Tanzania, kwa bahati nzuri wote wanaendelea vizuri, hatuna kifo na hata mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania kutoka Arusha (Isabela) amepimwa na kukutwa negative”.