Top Stories

BREAKING: Mama Getrude Rwakatare amefariki dunia

on

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki Dunia Alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Taarifa hiyo imetolewa na Mwanaye Muta Rwakatare, “Ni bahati mbaya imetokea asubuhi ya leo saa 11 kasoro, alikuwa na matatizo ya moyo, jana tulimkimbiza Hospitali lakini bahati mbaya imetokea, tupo katika hatua ya kuangalia namna gani tutafanya ili tuweze kumpumzisha mama yetu” Muta.

KWA CORONA HII, HIVI NI VYAKULA VYA KUONGEZA KINGA YA MWILI

Soma na hizi

Tupia Comments