Michezo

Breaking: Man City washinda rufaa yao CAS

on

Club ya Man City ya England imefanikiwa kushinda rufaa yake katika Mahakama ya Kimichezo Duniani (CAS).

Baada ya awali UEFA kuifungia Man City kwa kipindi cha miaka miwili kushiriki michuano yoyote ya Ulaya (UCL & Europa) kwa tuhuma za kukiuka kanuni za matumizi ya pesa (Financial Fair Play FFP).

Man City kwa kawaida walidaiwa kutenda kosa la kutumia pesa zisizozalishwa na club kufanya matumizi ya club kitu ambacho hakiruhusiwi, sheria ya FFP inavitaka vilabu kufanya matumizi kwa pesa zinazozalishwa na club na sio nje ya hapo.

Soma na hizi

Tupia Comments