Top Stories

BREAKING: Mbowe athibitisha Mtoto wake wa kwanza kapata Corona

on

Leo March 24, 2020 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upunzani Bungeni Freeman Mbowe amethibitisha Mwanaye Dudley kupata maambukizi ya virusi vya  Corona ila sasa anaendelea vizuri.

UGONJWA MWINGINE MPYA WAIBUKA CHINA HUNTER VIRUS, UMEUA MTU MMOJA, ABIRIA 32 WACHUNGUZWA

Soma na hizi

Tupia Comments