Top Stories

BREAKING: Mkuu wa Wilaya afariki, Jafo athibitisha “sukari ilipanda” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.

MCHUNGAJI AWAVAA WATU KANISANI “CORONA HAICHAGUI MTU, VAENI MASK”

Soma na hizi

Tupia Comments