Top Stories

BREAKING: Rais Magufuli ateua Mkuu wa Mkoa mpya DSM

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM.

Kabla ya uteuzi huo, Kunenge alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa DSM na anachukua nafasi ya Paul Christian Makonda.

MAGUFULI AWASIMAMISHA DIAMOND NA ALIKIBA BIFU YAO “PATANENI, NYINYI NI VIJANA” AWAPA SOMO

Soma na hizi

Tupia Comments