Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi Serikalini Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Januari, 2023.
Breaking: Rais Samia afanya mabadiliko haya, boss Usalama wa Taifa, katibu Mkuu Kiongozi wabadilishwa

Leave a comment
Leave a comment