Top Stories

BREAKING: Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki

on

Leo February 25, 2020 Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.

Mubarak alidumu madarakani kwa miongo mitatu kabla ya kung’atuliwa jeshi baada ya maandamano makubwa ya raia.

Alikutwa na hatia ya kula njama katika mauaji ya waandamanaji wakati wa mapinduzi na kuwekwa kizuizini.

Hata hivyo, hatia hiyo iliondolewa na akaachiwa huru mwezi Machi 2017.

DAAH! MZUNGU AMVUNJA MBAVU MAGUFULI AKITAJA KERO ZA WATENDAJI “WATU HOI KICHEKO”

Soma na hizi

Tupia Comments