Breaking News

BREAKING: Usiku huu Mbunge Lema akamatwa na Polisi apelekwa Singida

on

Habari zilizotufikia hivi punde kutokea Arusha Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekamatwa na Polisi na kupelekwa mkoani Singida.

Taarifa hiyo imethibitisha na katibu wa Chadema kanda ya Kaskazini, Amani Golungwa unaweza ukabonyeza play kumsikiliza zaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments