Top Stories

BREAKING: Vifo vyafikia 21 TZ, maambukizi 509 “wanatibiwa nyumbani” (+video)

on

Wizara ya Afya Zanzibar imesema wagonjwa watano wamefariki dunia kutokana na Corona Virus, Waziri Hamad Rashid Mohamed amesea hadi leo wagonjwa ambao wamelazwa katika vituo vya kutolea huduma ni 41 na wanaendelea vizuri.

Soma na hizi

Tupia Comments